RAIS MAGUFULI AMTUMBUA NAIBU WAZIRI WA AFYA USIKU HUU/AMTEUA ALIYEKUWA MBUNGE CHADEMA KUSHIKA NAFASI Download

Send to your friends
Add
 • May 16, 2020

Comments

 • Magella Said
  Magella Said 4 months ago

  HAPA KAZI TU, NADHANI HUYU ATATUFAA, HII INADHIHIRISHA WAZI WALE WOTE WALIOITWA MIZIGO KULE KWA WENYE MATUSI HAWAKUWA MIZIGO KATAMBI WAITARA NA HUYU MZEE NA NINA NDOTO HATA SILINDE ATAKUJA KUWA WAZIRI ILI MAANDIKO YATIMIE, OOOH MBOWE WEWE WAPENDA MAENDELEO UNAWAITA MIZIGO KISA WALITAKA CHAMA KISONGE KWA KUHOJI MATUMIZI YAKO POLE SANA

 • Humphrey Msengi
  Humphrey Msengi 4 months ago

  Kumwombea Mungu amsaidie afanye vzr tu. Maana, huwa tunasifu sana mtu akiteuliwa, baada ya muda akiondolewa tunaanza tena maneno.

 • Margareth Orgenes
  Margareth Orgenes 4 months ago

  Aiseeeeeeee! Dr. Moleli unaniachaga mdomo wazi , maana unaongeaga Kama umekariri. Duuuuuuuu! 😁😁😁🌹

 • Peter Daud
  Peter Daud 4 months ago

  Duh!! hapa kazi na sala tu, Ewe mwenyezi mungu muongoze Rais Dr. JPM na wabunge wetu, pia tuepushe na janga hili la korona.

 • Hamad Ali
  Hamad Ali 4 months ago

  Moleli ana uwezo mkubwa kuhusiana na mambo ya afya c rahisi kupata mbunge na mwana sayansi bravo

 • bin sultan
  bin sultan 4 months ago

  Huwa llahu lladhii laa ilaahaillallahuwal hayyul kayyuum

 • William Keita
  William Keita 4 months ago

  Point sana umeongea kama umewahi kuwepo akilini mwangu walahi naomba Rais alitendee kazi suala la maabara kubwa

 • Enock marwa
  Enock marwa 4 months ago

  Hadi machozi yamenitoka kaka umegusa moyo wangu sanaπŸ˜₯πŸ˜₯

 • Eustace Mgawe
  Eustace Mgawe 4 months ago

  Tunahitaji mawazo yake mazito yawe kwenye matumizii na vitendo.

 • Bunge Sabaya
  Bunge Sabaya 4 months ago

  Hapa RAIS kampata jembe. Huyu jamaa yuko vinzuri hatari yani haja kosea kwa uteuzi

 • Adam Mwakosya
  Adam Mwakosya 4 months ago

  Dr. Morel hongera sana umekua ukisemea vizuri Taifa letu. Nina imani hutamwangusha Rais wetu mpendwa John Pombe Josef Magufuli.

 • Liz P
  Liz P 4 months ago

  Lazima tusimame wenyewe..maono makubwa sana..maabara lazima tuwe nazo za kisasa kabisa! huyu jamaa katoa jambo kubwa sana!

 • Rehema Kitara
  Rehema Kitara 4 months ago

  πŸ™πŸ™

 • Sifueli Nyaki
  Sifueli Nyaki 4 months ago

  Ndo useme alikwenda ufipani kwa mapenzi yake akijua ipo siku atakuwa waziri kweli??!!!πŸ€”

 • Catherine Shao
  Catherine Shao 4 months ago

  Hahaaaaaaaaaaaa

 • leonard ramiye
  leonard ramiye 4 months ago

  It will take a century to think or feel this

 • Paulina. Baynit
  Paulina. Baynit 4 months ago

  Huyu baba nina mpenda sana, nilihisi atakuja kuwa waziri wa afya siku moja. Mungu akutangulie ktk kazi hiyo mpya.

 • Shaban Mlekwa
  Shaban Mlekwa 4 months ago

  Daah..! Jamaa katema madini saana. Hiyo ndo formla Illuminati wanaitumia kutawala dunia. Bravo Dr. Mollel

 • Immanuel Jackob
  Immanuel Jackob 4 months ago

  Nimekuelewa sana kiongozi

 • yohana mussa
  yohana mussa 4 months ago

  Hy!