Harusi tunazo au sio? – Huba | Maisha Magic Bongo Download

Send to your friends
Add
 • May 15, 2020

 • Maharusi watarajiwa wamejiandaa, wamekwatuka kwatu kwatu katika mashughuli ya ndoa! Walakini! Picha za Roy na wageni wasioalikwa katika Nikaa ya Kibibi watakomesha shughuli hizi? TAZAMA highlights! --- Endelea kutizama DStv chaneli 160 Official Website: https://maishamagicbongo.dstv.com/ Watch more series and movies on Showmax, start your 14 day free trial here: https://bit.ly/36PFSr0 Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicB...

Comments

 • Khadeja Rajab
  Khadeja Rajab 4 months ago

  Nandi kavurugwa na dorisi 😂😂😂😂😂

 • KHADIJA AMOUR
  KHADIJA AMOUR 4 months ago

  Nandy ungejikaza bana 😂😂

 • Saidah licious 254
  Saidah licious 254 4 months ago

  Pole Nandy,duh Roy utaambia nn watu🤔🤔☹

 • Glory Julius
  Glory Julius 4 months ago

  Nandy msamehee tuu roy coz ww alikusamee kipindi kile ulivyolala na billnass

 • Dushyant Savania
  Dushyant Savania 4 months ago

  Sijaamini kama ile ndoa iliyowaumiza watu akili inaenda kuniumiza na mm mtizamaji kweli nimeamini mchawi wa mtu ni mtu

 • aysha jumaa
  aysha jumaa 4 months ago

  Namuonea iman nandy daaah😭😭😭😭

 • Munira Ahmed
  Munira Ahmed 4 months ago

  So nice kwakweli🌹❤

 • Cruiz K
  Cruiz K 4 months ago

  Carlos🤣🤣🤣🤣🤣

 • Zulekha Ally
  Zulekha Ally 4 months ago

  Yan Nabii tito anakuja anakaaaa Ben nduguyako nn

 • Mariya Al
  Mariya Al 4 months ago

  Pole sana Nandy

 • Gres 1
  Gres 1 4 months ago

  Pole nandy

 • fatuma rajabu
  fatuma rajabu 4 months ago

  Pole San nand .. yn huyu mwnamke Pak kafanyikish kuvunja ndow ya nand

 • Evo Dia
  Evo Dia 4 months ago

  Pole nandy bt ni uchawi wa doric

 • Pelusi Emanueli
  Pelusi Emanueli 4 months ago

  Hahahahahaha nady kavulugwa

 • ishe ali
  ishe ali 4 months ago

  Mbona vpande n vdogo

 • Khadeeja Abdullah
  Khadeeja Abdullah 4 months ago

  Daaah Doris mungu anakuona

 • Beatrice Njau
  Beatrice Njau 4 months ago

  Mbn fupi hiv😢

 • Josephine Kasendamila
  Josephine Kasendamila 4 months ago

  Natamani kuigiza kisa huba

 • Asia_Ake Asia_Ake
  Asia_Ake Asia_Ake 4 months ago

  Jamanii👌👌🤣🤣🤣

 • Shakila Masoud
  Shakila Masoud 4 months ago

  Mama eeee, mhh